Loading...

Baada ya kuvuliwa ubunge, Joshua Nassari amjibu spika


IKIWA ni saa chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua Ubunge, aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), jana Machi 14, 2019, baada ya kupoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge kufuatia kushindwa kuhudhuria vikao vya mikutano mitatu ya Bungemfululizo, Nassari amesema kuwa Januari 29, 2019 aliwasiliana na Ofisi ya Spika na kueleza juu ya kushindwa kuhudhuria vikao vya Bunge.

Baada ya kuvuliwa ubunge, Joshua Nassari amjibu spika Baada ya kuvuliwa ubunge, Joshua Nassari amjibu spika Reviewed by Zero Degree on 3/15/2019 07:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.