Diogo Jota aionya United kuelekea Robo Fainali ya FA
Klabu hiyo iliyopanda daraja hivi karibuni imekuwa na msimu mzuri hadi hivi sasa na inalenga kushiriki michuano ya Europa League msimu ujao. Rekodi ya Wolves dhid ya timu kubwa inatia hamasa msimu huu na watajaribu kufanya makubwa kwa mara nyingine tena.
Vijana hao wa Nuno Espirito Santo walifanikiwa kushiriki katika nusu fainali moja tu kwa miaka 38 iliyopita na ushindi dhidi ya United unaweza kuwapa nafasi ya pekee kushinda taji hilo kwa mara ya pili baada ya mwaka 1960.
Kwa mara ya mwisho United walishinda taji la FA chini ya uongzoi wa Louis van Gaal na kwa ari yao ya sasa Wolves hawatakua tishio sana kwao. Jota alisema, “Tunajua kuwa tunaweza kushinda mchezo huu lakini tunataumbua pia ni jinsi mzhezo huu utakuwa mgumu.

“Tunatumbua kuwa tutatakiwa kucheza katika kiwango cha juu sana kuweza kufika hatua ya nusu fainali.
Moja ya sababu za kuja hapa ilikuwa ni kucheza michezo mikubwa dhidi ya timu kama United.
“Ni hatua muhimu sasa na tunajua kuwa ni mchezo mkubwa lakini hauna utafauti na mwingine tuliocheza wiki iliyopita.
“Tumekuwa na mafanikio dhidi ya timu kubwa.”
Moja ya sababu za kuja hapa ilikuwa ni kucheza michezo mikubwa dhidi ya timu kama United.
“Ni hatua muhimu sasa na tunajua kuwa ni mchezo mkubwa lakini hauna utafauti na mwingine tuliocheza wiki iliyopita.
“Tumekuwa na mafanikio dhidi ya timu kubwa.”
Diogo Jota aionya United kuelekea Robo Fainali ya FA
Reviewed by Zero Degree
on
3/16/2019 08:20:00 AM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
3/16/2019 08:20:00 AM
Rating: