Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumamosi Mei 18, 2019
Antoine Griezmann ataondoka Atletico Madrid msimu huu lakini Manchester City na Paris St-Germain wameachaachana na mpango wa kumchukua mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa (Independent)
Everton wanapanga dau la pauni milioni 35 kwa ajili ya mshambuliaji wa Bournemouth Muingereza Callum Wilson, mwenye umri wa miaka 27, lakini hawakutaka kulazimishwa kumuuza mchezaji wa kimataifa wa Senegal Idrissa Gueye, mwenye umri wa miaka 29, kwa mkataba wa pesa.
Manchester United wamewasiliana na Fulham juu ya uwezekano wa kusaini mkataba na mlinzi Ryan Sessegnon, 19 siku ya Jumapili, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akilengwa na Tottenham. (Sky Sports)
Meneja msaidizi wa Rangers Gary McAllister amemuonya mshambuliaji wa Colombia Alfredo Morelos, mwenye umri wa miaka 22, kwamba anahitaji kujifunza kutokana na matendo yake ili kuboresha rekodi yake ya nidhamu iliyoiweka hatima yake mashakani.

Juventus inamtaka kocha wa klabu ya Tottenham Mauricio Pochettino achukue nafasi ya Massimiliano Allegri kama Muitaliano huyo ataamua kuachana na mabingwa hao wa Italia.
Mchezaji wa safu ya kati wa Liverpool Muingereza Adam Lallana, mwenye umri wa miaka 31, anafikiria kwa makini kurejea Southampton. (Express)
Juventus wamewasiliana na meneja wa klabu ya Chelsea Maurizio Sarri baada ya kuenea kwa taarifa ya kuondoka kwa Massimiliano Allegri. (SNAI)
Sarri atashinikiza uamuzi kutoka kwa Chelsea kuhusu msimamo wao baada ya fainali ya Ligi ya Ulaya kwani mikataba ya wakufunzi wake wote inamalizika na wanahitaji kujua wazi hatma zao. (Times)
Matthijs de Ligt |
Manchester United bado wanataka kusaini mkataba na nahodha wa Ajax Matthijs de Ligt, mwenye umri wa miaka 19. (Telegraph)
Duru kutoka Newcastle zimesisitiza kuwa mchezaji wa safu ya kati wa klabu ya Uingereza Sean Longstaff, anahamia Manchester United, hayuko katika mpango wao wa mauzo msimu huu.
Duru kutoka Newcastle zimesisitiza kuwa mchezaji wa safu ya kati wa klabu ya Uingereza Sean Longstaff, anahamia Manchester United, hayuko katika mpango wao wa mauzo msimu huu.
Newcastle na Rafa Benitez wako tayari kuendelea na mazungumzo juu ya hali ya baadae ya meneja wikendi hii, huku, wakiwa pande hizo mbili zikiwa bado hazijafikia makubaliano. (Newcastle Chronicle)
Wakili wa mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann, mwenye umri wa miaka 28, anatarajia kukutana na maafisa wa klabu ya Barcelona ili kukamilisha mpango wake wa kuhamia timu hiyo . (Marca)
Manchester City wamewasilisha ombi rasmi kwa kiungo wa kati wa Atletico Madrid Rodri, mwenye umri wa miaka 22 wakimtaka ajiunge na klabu hiyo. (AS)
Chelsea wanaangalia uwezekano wa kumchukua mchezaji wa safu ya mashambulizi wa Ajax Mbrazil David Neres, mwenye umri wa miaka 22, kwasababu wanamatumaini kuwa marufuku ya vipindi vyao viwili vya uhamisho itakuwa imetatuliwa na mahakama ya utatuzi wa mizozo ya michezo. (Star)
Everton wamefanya mazungumzo juu ya rasimu ya mkataba kwa ajli ya mlindalango wa Denmark goalkeeper Jonas Lossl, mwenye umri wa miaka 30, ambaye yuko huru baada ya kuachiliwa na Huddersfield. (Daily Mail)
Wayne Rooney amewashutumu wachezaji wa Manchester United kwa "kutafuta mtiu wa kumlaumu" kila mara wanapokuwa juu ama chini kimchezo na anasema kikosi kinahitaji kuanza kumuogopa Ole Gunnar Solskjaer. (Mirror)

Everton wametoa orodha ya wachezaji wanaowalenga ikiwa watashindwa kusaini mikataba ya jumla kwa wachezaji Andre Gomes,mwenye umri wa miaka 25 na Kurt Zouma,mwenye umri wa miaka 24, ambao kwa sasa wanachezea timu hiyo kwa mikataba ya mikopo.
Liverpool wamemuonya kuwa shabiki wao yeyote atakayepatikana akiuza tiketi za fainali za Ligi ya Mabingwa kupitia njia zisizo rasmi atakabiliwa na marufuku ya kutoshuhudia mechi katika Anfield. (Liverpool Echo)
Arsenal wanawataka wachezaji Tyreece John-Jules na Xavier Amaechi wote wenye umri wa miaka 18 wasaini mikataba, huku Waingereza hao wakilengwa na klabu ya Bayern Munich na klabu nyingine za Ujerumani. (Goal)

Norwich wanamfuatilia kwa karibu nahodha wa Hannover Mjerumani Marvin Bakalorz, mwenye umri wa miaka 29 anayecheza safu ya kati . (Eastern Daily Press)
Aston Villa wamemteua meneja wa zamani wa Notts County boss -Ian McParland kama meneja mpya wa kikosi. (Birmingham Mail)
Aston Villa wamemteua meneja wa zamani wa Notts County boss -Ian McParland kama meneja mpya wa kikosi. (Birmingham Mail)
Chanzo: BBC
Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumamosi Mei 18, 2019
Reviewed by Zero Degree
on
5/18/2019 08:05:00 AM
Rating: