Loading...

Rais Magufuli ateua Kamkishina mamlaka ya usimamizi wa Bima


Rais Magufuli amemteua Dkt. Mussa C. Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka ya usimamizi wa Bima (TIRA) kuanzia Jana Juni 25, 2019.

Dkt. Musa anachukua nafasi ya Dkt. Baghayo Abdallah Saqware ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Rais Magufuli ateua Kamkishina mamlaka ya usimamizi wa Bima Rais Magufuli ateua Kamkishina mamlaka ya usimamizi wa Bima Reviewed by Zero Degree on 6/26/2019 09:28:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.