Loading...

Video: Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya 'Chuchumaa'


Baada ya wimbo alioshirikishwa wa pepeta kufanya vizuri, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, ambaye yuko chini ya lebo kubwa ya muziki hapa Tanzania ya WCB ambayo inasimamiwa na Diamond Platnumz Rayvanny, ameachia video ya wimbo wake mpya ya Chuchumaa.

Video hiyo imefanywa na Director Kenny wa Zoom Production

Video: Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya 'Chuchumaa' Video: Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya 'Chuchumaa' Reviewed by Zero Degree on 10/05/2019 05:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.