Dk.Mpango aipongeza shule ya Istiqaama kwa Usafi
Katika hafla hiyo Shule ya Istiqaama ya jijini Tanga ilishika nafasi ya pili katika Mshindano ya Afya na Usafi wa Mazingira kundi la shule za Sekondari Tanzania Bara.
Dk. Mpango alisisitiza umuhimu wa kutunza mazingira na kuendelea kuzingatia kanuni za afya, pia amezipongeza taasisi ambazo zimefanya vizuri katika swala la afya na usafi wa mazingira ambao kwenye kundi la shule za Sekondari Tanzania Bara.
Dk. Mpango ameipongeza shule ya Istiqaama ya jijini Tanga kwa kushika nafasi ya pili shule zilizofanya vizuri zaidi kwa mwaka 2023.
Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Mohamed Hamad Mohamed, ameupokea ushindi huo kwa furaha na kuahidi kufanya vizuri zaidi kwa mwaka unaokuja.

“Kwa upande wetu usihindi huu ni chachu ya kufanya vizuri zaidi katika mashindano yajayo,” amesema Mohamed.
Chanzo: Mtanzania
Dk.Mpango aipongeza shule ya Istiqaama kwa Usafi
Reviewed by Zero Degree
on
5/13/2024 07:10:00 AM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
5/13/2024 07:10:00 AM
Rating: