Loading...

EBOLA NI HATARI, UMEMWONA MTU ALIYEUGUA NA EBOLAAA...!? TAZAMA PICHA HIZO 2







Hayo ndio madhara ya ugonjwa huu wa ebola ukiachana na kuharisha na kutapika kama ilivozoeleka. Duuh inatisha kweli kuliko ukimwi, na tumuombe MUNGU atuepushie mbali na janga hili hatari unaosambaa  kwa urahisi na haraka unaomaliza raia wa inchi za magharibi ya africa.
EBOLA NI HATARI, UMEMWONA MTU ALIYEUGUA NA EBOLAAA...!? TAZAMA PICHA HIZO 2 EBOLA NI HATARI, UMEMWONA MTU ALIYEUGUA NA EBOLAAA...!? TAZAMA PICHA HIZO 2 Reviewed by Zero Degree on 10/17/2014 09:48:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.