Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Zanzibar
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetoa matokeo ya uchaguzi wa rais ambayo yamehakikiwa kutoka baadhi ya maeneo visiwani humo. Kufikia sasa tume hiyo imetangaza matokeo kutoa majimbo 13 kati ya 54.
Matokeo hayo yaliyokuwa yametangazwa kufikia saa tatu asubuhi Oktoba 27 ni kama ifuatavyo:
Matokeo ya uchaguzi wa rais Zanzibar (Majimbo13/54) | |||
---|---|---|---|
Jina | Chama | Kura | Asilimia |
Khamis Iddi Lila | ACT-W | 56 | 0.1 |
Juma Ali Khatib | ADA-TADEA | 52 | 0.1 |
Hamad Rashid Mohamed | ADC | 105 | 0.1 |
Said Soud Said | AFP | 80 | 0.1 |
Ali Khatib Ali | CCK | 100 | 0.1 |
Ali Mohamed Shein | CCM | 62,595 | 61.3 |
Mohammed Massoud Rashid | CHAUMMA | 107 | 0.1 |
Seif Sharif Hamad | CUF | 36,302 | 35.5 |
Taibu Mussa Juma | DM | 42 | 0.0 |
Abdalla Kombo Khamis | DP | 32 | 0.0 |
Kassim Bakar Aly | JAHAZI | 84 | 0.1 |
Seif Ali Iddi | NRA | 28 | 0.0 |
Issa Mohammed Zonga | SAU | 54 | 0.1 |
Hafidh Hassan Suleiman | TLP | 39 | 0.0 |
Zanzibar ina jumla ya wapiga kura 503,860 waliojiandikisha kupiga kura, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Kwa habari zaidi kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania bonyeza hapa uchaguzi: #tanzania2015
Credits: BBC
Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Zanzibar
Reviewed by Zero Degree
on
10/27/2015 01:09:00 PM
Rating: