Loading...

Sababu 8 za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar


Image captionTaarifa ya tume ya uchaguzi Zanzibar

Hizi ndozo sababu nane zilizotolewa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa kisiwani Zanzibar kuhusu kufutiliwa mbali kwa uchaguzi wa eneo hilo.

1.Makamishna wa uchaguzi katika tume hiyo walipigana kutokana na tofauti zao
2.Makamishna walikuwa na upendeleo fulani.
3.Katika vituo vyengine,hususan kisiwani Pemba,ambacho ni miliki ya Zanzibar,kura zilizopigwa zilikuwa zaidi ya zilizosajiliwa.
4.Masanduku ya kupigia kura hayakupewa ulinzi wa kutosha na maajenti pamoja na maafisa wa uchaguzi.
5.Maajenti wa vyama walifukuzwa katika vituo kadhaa.
6.Vijana walivamia vituo vya kupigia kura wakiwa na lengo la kuzua ghasia.
7.Vyama vya kisiasa vimekuwa vikiingilia tume hiyo.
8.Kura ziliharibiwa hususan zile kutoka Pemba.
Credits: BBC
Sababu 8 za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar Sababu 8 za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar Reviewed by Zero Degree on 10/28/2015 05:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.