Loading...

Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar, haina madhara yoyote na inatolewa bure bila malipo!!!



Wauguzi mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.



Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari kuchukua vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye Zahanati ya Manzese.


Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kushoto) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye Zahanati ya Manzese kwa ajili ya chanjo hiyo.


Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo.


Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manzese, Nestory Kobero akihojiwa na mwanahabari.

CHANJO ya minyoo, matende na mabusha imezinduliwa leo katika Zahanati ya Manzese, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar ambapo wakazi wa maeneo hayo wameonekana wakiunga mkono uzinduzi huo.

Akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi huo, Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya amesema wananchi wanapaswa kufika kwenye vituo vya afya na zahanati kwa ajili ya kupata chanjo ya kuweza kujikinga na magonjwa hayo.

Amesema kuwa chanjo hiyo haina madhara yoyote na hutolewa bure bila malipo hivyo sasa ni wajibu wananchi kujitokeza kupata chanjo hiyo ya kuzuia magonjwa kutokuendelea katika jamii.


Credits: Global publishers



Mshirikishe na mwenzako kuhusu habari hii!!
Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar, haina madhara yoyote na inatolewa bure bila malipo!!! Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar, haina madhara yoyote na inatolewa bure bila malipo!!! Reviewed by Zero Degree on 12/19/2015 08:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.