Loading...

Raisi John Pombe Magufuli aanika Baraza lake la Mawaziri, asema bado hajapata mawaziri watakao simamia wizara 4 zifuatazo..!!

Rais John Magufuli ametangaza rasmi wizara 18 pekee ambazo zitaongozwa na mawaziri 19 na manaibu 15.
Pamoja na kuvunja ukimya leo, ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu alipoapishwa kuongoza nchi, bado Rais Magufuli ameshindwa kutangaza majina ya mawaziri katika wizara za Ujenzi, Elimu, Utalii pamoja na Fedha, akisema bado anatafuta watu sahihi wa kujaza nafasi hizo.

Orodha kamili ya wanaounda Baraza la Mawaziri.


1. Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.

    Mawaziri – George Simbachawene na Angella Kairuki
    Naibu Waziri – Seleman Jafo.

2. Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira

    Waziri – January Makamba
    Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina

3. Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu

    Waziri – Jenista Muhagama
    MaNaibu – Dkt Possy Abdallah na Anthony Mavunde.

4. Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi

   Waziri – Mwigulu Nchemba
   Naibu Waziri – William Ole Nasha

5. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

   Waziri-Bado hajapatikana.
   Naibu Waziri – Edwin Ambandusi Ngonyani

6. Wizara ya Fedha na Mipango


    Waziri-Bado hajapatikana.
    Naibu Waziri – Ashantu Kizachi

7. Wizara ya Nishati na Madini

    Waziri – Prof Mwigalumi Muhongo.
    Naibu Waziri – Medalled Karemaligo.

8. Wizara ya Katiba na Sheria,

    Waziri – Dk Harrison Mwakyembe

9. Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa

     Waziri – Dk Augustino Mahiga

     Naibu Waziri – Dkt Susan Kolimba.

10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

     Waziri – Dk Hussein Mwinyi

11. Wizara ya Mambo ya Ndani

     Waziri – Charles Kitwanga.


12. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

     Waziri – William Lukuvi
     Naibu Waziri – Angelina Mabula


13. Wizara ya Maliasili na Utalii

    Waziri-Bado hajapatikana.
    Naibu Waziri– Ramol Makani


14.Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

      Waziri-Charles Mwijage.


15. Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi.

     Waziri-Bado hajapatikana.
     Naibu Waziri – Stella Manyanya

16. Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

    Waziri – Ummy Mwalim
    Naibu Waziri – Dkt Hamis Kigwangala

17. Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo

      Waziri – Nape Nnauye
      Naibu Waziri – Anastasia Wambura.


18. Wizara ya Maji na Umwagiliaji

     Waziri – Prof Makame Mbarawa
     Naibu Waziri - Isack Kamwela




Credits: Mwananchi




Mshirikishe na mwenzako kadri uwezavyo!!!
Raisi John Pombe Magufuli aanika Baraza lake la Mawaziri, asema bado hajapata mawaziri watakao simamia wizara 4 zifuatazo..!! Raisi John Pombe Magufuli aanika Baraza lake la Mawaziri, asema bado hajapata mawaziri watakao simamia wizara 4 zifuatazo..!! Reviewed by Zero Degree on 12/10/2015 08:45:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.