Loading...

AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya Basi la kampuni ya Luwinzo [ Dar/Njombe ] kugongana na roli la mizigo Mufindi.




Ajali ilivyotokea mapema leo asubuhi.

 

Shughuli za kuwaokoa walionusurika na ajali.

AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Njombe, kugongana na lori wakati basi hilo likiwa linatoka Njombe kuelekea Dar es Salaam na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Ajali imetokea katika eneo la Kinegembasi, Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi mkoani Njombe.


Source: GPL

Comment & Share this story!!
AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya Basi la kampuni ya Luwinzo [ Dar/Njombe ] kugongana na roli la mizigo Mufindi. AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya Basi la kampuni ya Luwinzo [ Dar/Njombe ] kugongana na roli la mizigo Mufindi. Reviewed by Zero Degree on 1/04/2016 02:16:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.