Loading...

Breaking news: Benitezi atimuliwa kazi Madrid, Zizou akabidhiwa mikoba.


Safari ya Real Madrid na kocha Rafa Benitez imefikia ukingoni baada ya kutimuliwa leo.


Gwiji la timu hiyo, Zinedine Zidane amepewa jukumu la kukinoa kikosi cha Madrid na ndiyo anakuwa mocha mkuu.

Real Madrid imemtimua Benitez baada ya miezi sita tu na ikiwa ni siku moja tu baada ya sale ya mabao 2-2 dhidi ya Valencia inayonolewa na Kocha Gary Neville ambaye ni nyota wa zamani wa Man United.


Source:GPL

Comment & Share this story!!
Breaking news: Benitezi atimuliwa kazi Madrid, Zizou akabidhiwa mikoba. Breaking news: Benitezi atimuliwa kazi Madrid, Zizou akabidhiwa mikoba. Reviewed by Zero Degree on 1/05/2016 01:08:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.