Loading...

Kamati ya kuratibu mashindano ya Miss TZ yajiondoa.


Viongozi wa kamati hiyo:

Kamati ya kuratibu mashindano ya urembo ya Miss Tanzania ikiongozwa na Mwenyekiti wake Juma Pinto imetangaza kujitoa kwenye mashindano hayo leo baada ya kupishana katika baadhi ya mambo ya kiutendaji ya kamati hiyo.

Kamati hiyo ikiwa na viongozi wakiwemo Jokate Mwengelo, Juma Pinto na Gladys Shao imetangaza maamuzi hayo leo wakati ikiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam.


Source: GPL
Kamati ya kuratibu mashindano ya Miss TZ yajiondoa. Kamati ya kuratibu mashindano ya Miss TZ yajiondoa. Reviewed by Zero Degree on 1/22/2016 07:24:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.