Loading...

Kivuko cha Mto Kilombero chapinduka.


WATU wapatao 30 wameokolewa mpaka sasa baada ya kivuko cha Mto Kilombero kushindwa kuhimili upepo mkali ulioambatana na mvua ya radi na kisha kugonga nguzo za pembeni ya mto na kukosa mwelekeo hivyo kupinduka ndani ya maji.



Tukio la kivuko hicho cha Mto Kilombero kushindwa kumudu upepo sio mara ya kwanza kujitokeza katika eneo hilo la mpakani mwa Wilaya za Kilombero na Ulanga, ambapo juzi hali kama hiyo ilijitokeza pia.





Source: GPL
Kivuko cha Mto Kilombero chapinduka. Kivuko cha Mto Kilombero chapinduka. Reviewed by Zero Degree on 1/28/2016 02:07:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.