Loading...

Siri imefichuka, jinsi Masogange anavonasa vigogo.



Video Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’.


Ulozi? Video Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ anadaiwa kutumia ‘tunguri’ kujiongezea mvuto ili kuwanasa vigogo.

Habari kutoka kwa chanzo kilicho karibu na Masogange zilieleza kwamba kuna waganga wawili wanaompa jeuri mrembo huyo, mmoja akiwa anaishi maeneo ya Mwenge, Dar na mwingine Bagamoyo.

Alipotafutwa Masogange alikuwa na haya ya kusema: “Sijaanza kusikia tuhuma hizo leo lakini mimi si mtu wa mambo ya Kiswahili ujue, nimetoka kwenye familia ya kichungaji.”


Source: GPL

Commment & Share this story!!
Siri imefichuka, jinsi Masogange anavonasa vigogo. Siri imefichuka, jinsi Masogange anavonasa vigogo. Reviewed by Zero Degree on 1/04/2016 01:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.