Loading...

Wananchi WASIOLIMA mtama kunyimwa chakula.


Kishapu. Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Hawa Ng’humbi ametishia kuzuia misaada ya chakula kwa wananchi ambao hawatalima mazao yanayostahimili ukame, ikiwamo mtama.

“Mtajionea nyie wenyewe hatutaweza kutoa msaada wa chakula kwa kijiji au mtu ambaye hajalima mazao hayo,” alisema Ngh’umbi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Idukilo.

Ofisa Mtendaji wa Kata ya Idukilo, Daniel Mtei na Diwani wa kata hiyo, Sarah Michael, walimtoa hofu mkuu huyo wa wilaya na kuahidi kufanya kazi ya kuwahamasisha wananchi walime mazao hayo.



Source: Mwananchi
Wananchi WASIOLIMA mtama kunyimwa chakula. Wananchi WASIOLIMA mtama kunyimwa chakula. Reviewed by Zero Degree on 1/14/2016 02:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.