Loading...

Samatta ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2015.


Mshambuliaji Mbwana Ally Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo yaMchezaji bora anayecheza soka barani Afrika na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe) Usiku huu mjini Abuja, Nigeria.





Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 2015.





ZeroDegree.
Samatta ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2015. Samatta ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2015. Reviewed by Zero Degree on 2/08/2016 08:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.