Loading...

Breaking News: Wabunge wa upinzani watoka nje ya Bunge wakiwa wamefunika midomo yao kwa karatasi na plasta [ Tazama picha hapa ].


Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.



Hii ni wiki ya pili mfululizo wabunge hao wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kutohudhuria kikao cha bunge kinachoongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.






ZeroDegree.
Breaking News: Wabunge wa upinzani watoka nje ya Bunge wakiwa wamefunika midomo yao kwa karatasi na plasta [ Tazama picha hapa ]. Breaking News: Wabunge wa upinzani watoka nje ya Bunge wakiwa wamefunika midomo yao kwa karatasi na plasta [ Tazama picha hapa ]. Reviewed by Zero Degree on 6/20/2016 11:08:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.