Loading...

TFF wagomea ongenzeko la wachezaji wa kigeni.


Dar es Salaam. Licha ya vilabu vya Ligi Kuu kutaka kuongezwa kwa idadi ya wachezaji wa kigeni kutoka saba wa sasa hadi 10, Bodi ya Ligi imekataa.


Boniface Wambura

Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura alisema wamekataa maombi hayo na kutaka idadi iliyopo ibaki kama ilivyo.

Hivi sasa klabu zinatakiwa kusajili wachezaji saba wa kigeni, lakini katika kikao cha klabu na Bodi ya Ligi kilichofanyika wiki iliyopita, moja ya jambo lililoongelewa ni kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni.

Source: Mwananchi
ZeroDegree.
TFF wagomea ongenzeko la wachezaji wa kigeni. TFF wagomea ongenzeko la wachezaji wa kigeni. Reviewed by Zero Degree on 6/11/2016 05:49:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.