Loading...

Vijana watanzania wakumbushwa kujiajiri.


Mwenyekiti wa Mtaa wa Bugarika wilayani Nyamagana mkoani Mwanza Juma Masanja amewataka vijana kubuni shughuli za ujasiriamali kwa kufanya biashara ndongondogo.

Amesema hiyo itasaidia kuwaondoa katika makundi ya uhalifu. 

Amesema kitendo cha vijana wengi kushinda vijiweni wakivuta bangi ndiyo chanzo kikubwa cha uhalifu unaotokea.

“Kukaa vijiweni kuna kupoteza nguvu kazi ya Taifa pia kunasababisha umaskini ambao ungeepukika,” amesema Masanja.


ZeroDegree.
Vijana watanzania wakumbushwa kujiajiri. Vijana watanzania wakumbushwa kujiajiri. Reviewed by Zero Degree on 6/12/2016 06:38:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.