Loading...

Dole la Kati Lililomponza Mhe. Sugu

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ akiwaonesha wabunge wa CCM dole la kati Bungeni
Dodoma hivi karibuni, kitendo ambacho kilitafsiliwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuwa ni tusi, hivyo kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao kumi vya Bunge.


Source: Global Publishers
ZeroDegree.
Dole la Kati Lililomponza Mhe. Sugu Dole la Kati Lililomponza Mhe. Sugu Reviewed by Zero Degree on 7/10/2016 01:17:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.