Loading...

Hili hapa Baraza jipya la Mawaziri Uingereza.

Mawaziri wa Brexit walioteuliwa mpaka sasa wako sita na Waziri Mkuu mpya wa Uingereza katika uongozi mpya baada ya kujitoa EU (Brexit).

  • Chancellor of the Exchequer (finance chief): Philip Hammond
  • Foreign Secretary: Boris Johnson
  • Home Secretary: Amber Rudd
  • Defense Secretary: Michael Fallon
  • Minister for Brexit: David Davis
  • Secretary of State for International Trade : Liam Fox

Kwa Watu hawa muhimu katika Baraza hili jipya mpaka sasa kuna usawa kati ya wale waliokua wakipigania Uingereza kuondoka kwenye Umoja huo (Johnson, Davis and Fox). na wale ambao walipigania kubakia katika Umoja huo (Hammond, Rudd and Fallon).

Leo wanatarajiwa kutangazwa Viongozi wengine watakaokuwa kwenye Baraza hilo litakalo ongozwa na Theresa May, na watachaguliwa kati ya wale wale waliotaka kubaki na waliotaka kutoka Kwenye Umoja wa huo na wanawake watakua wangapi katika ngazi kubwa kwenye Uongozi huu wa Waziri Mkuu wa pili Mwanamke Uingereza.

Picha za Mawaziri walioteuliwa pamoja na Waziri Mkuu wao:-


ZeroDegree.
Hili hapa Baraza jipya la Mawaziri Uingereza. Hili hapa Baraza jipya la Mawaziri Uingereza. Reviewed by Zero Degree on 7/17/2016 10:55:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.