Loading...

Watu 26 wameripotiwa kufariki leo katika ajali ya moto nchini China.


Basi la watalii lililowaka moto likiwa barabarani wakielekea uwanja wa ndege wa Taoyuan, Taiwan, China.


Wakiendelea kuzima moto huo.


Watu 26 leo wameripotiwa kufariki kwenye ajali ya basi la watalii lililowaka moto likiwa barabarani wakielekea uwanja wa ndege wa Taoyuan, Taiwan, China.


ZeroDegree.
Watu 26 wameripotiwa kufariki leo katika ajali ya moto nchini China. Watu 26 wameripotiwa kufariki leo katika ajali ya moto nchini China. Reviewed by Zero Degree on 7/19/2016 12:27:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.