Loading...

Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe afariki dunia.

Rais wa zamani wa Zanzibar, marehemu Aboud Jumbe Mwinyi.
Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia leo saa 7.00 mchana Mjimwema, Kigamboni jijiji Dar es Salaam.

Mtoto wa Marehemu, Mustafa Aboud Jumbe amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema kwamba atazikwa Zanzibar kesho saa 7.00 mchana.

“Ni kweli mzee Jumbe amefariki leo nyumbani kwake Kigamboni mbele ya familia yake na atazikwa kesho Zanzibar,” amesema.


Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe afariki dunia. Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe afariki dunia. Reviewed by Zero Degree on 8/14/2016 03:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.