Loading...

‘Cannavaro’ tumbo joto msimu ujao

Nahodha wa timu ya Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro'. 

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema msimu ujao wa Ligi Kuu utakuwa balaa kwa jinsi timu zinavyoonekana kujiandaa.


Cannavaro amesema licha ya kuwa wamecheza mechi nyingi na hawajapata muda wa kupumzika, lakini anaamini watatetea ubingwa wao msimu uajo.

“Timu nyingi zinajiimarisha hivi sasa hivyo ligi ya msimu ujao itakuwa si mchezo, lazima tukomae sana ukizingatia sisi ndiyo mabingwa watetezi,” amesema.

Credits: Mwananchi
ZeroDegree.

‘Cannavaro’ tumbo joto msimu ujao ‘Cannavaro’ tumbo joto msimu ujao Reviewed by Zero Degree on 8/03/2016 09:28:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.