Loading...

Licha ya kusifiwa na kocha wake, ...Nasri asisitiza kuondoka Kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

Samir Nasri amekiri kuwa yeye bado anaweza kuondoka Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wiki hii.

Kiungo huyo wa Kifaransa(29), amekuwa akihusishwa na kuondoka klabuni hapo kufuatia kuwasili kwa Pep Guardiola akitokea Bayern Munich. Nasri ni mmoja wa wachezaje waliomwagiwa sifa na Kocha Guardiola baada ushindi waliopata Man City wa goli 3-1 dhidi ya West Ham.

Nasri alicheza dakika 15 siku ya Jumapili katika mechi yake ya kwanza tangu msimu huu uanze, pamoja na yote Kocha wake Pep Guardiola alisema kuwa 
anamkaribisha mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal kubakia katika Klabu ya Man City.

Source: ESPN Soccer
ZeroDegree.
Licha ya kusifiwa na kocha wake, ...Nasri asisitiza kuondoka Kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili. Licha ya kusifiwa na kocha wake, ...Nasri asisitiza kuondoka Kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili. Reviewed by Zero Degree on 8/29/2016 11:21:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.