Loading...

Bale aongeza mkataba na klabu ya Real Madrid.

Klabu ya Real Madrid imemuongeza mkataba mpya mchezaji wao Gareth Bale na kumfanya aendelee kubaki klabuni hapo hadi mpaka 2022.

Bale ambaye alijiunga na klabu hiyo akitokea Tottenham Hotspur mwaka 2013.

Ameisaidia Madrid kushinda vikombe vitano katika misimu mitatu ya nyuma ikiwemo ligi ya mabingwa Ulaya mara 2 huku akifunga magoli 62 katika michezo 135.



Wachezaji wengine ambao wamesha saini mikataba mipya ni Viungo Luka Modric na Toni Kroos.

Mkataba huo wa Bale unatajwa kuwa wa Euro 600,000 kwa wiki huku baada ya makato ya kodi ikiwa Euro 350,000.

ZeroDegree.
Bale aongeza mkataba na klabu ya Real Madrid. Bale aongeza mkataba na klabu ya Real Madrid. Reviewed by Zero Degree on 10/31/2016 11:15:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.