Loading...

Guardiola akaribishwa rasmi Ligi ya Uingereza, ..tazama VIDEO hapa ya magoli yote waliyofungwa Man City.

Klabu ya Whitehart Lane nchini Uingereza Tottenham Hotspurs iliisitisha rekodi ya Manchester City ya kutofungwa.

Goli la kujifunga wenyewe la Aleksander Kolarov liliiweka Tottenham kifua mbele baada ya kuichanganya krosi ya Danny Rose alipokuwa akijaribu kuokoa na hivyobasi mpira kumpita kipa Claudio Bravo.

Dele Ali akiifungia Tottenham bao la pili.
Dele Ali aliongeza bao la pili ndani ya eneo hatari la City kufuatia pasi nzuri ya Son Heung-min.

Spurs walipata penalti wakati Ali Dele alipoangushwa na Fernandinho katika lango la Manchester City,lakini Bravo aliokoa mkwaju wa Erik Lamela.



ZeroDegree.
Guardiola akaribishwa rasmi Ligi ya Uingereza, ..tazama VIDEO hapa ya magoli yote waliyofungwa Man City. Guardiola akaribishwa rasmi Ligi ya Uingereza, ..tazama VIDEO hapa ya magoli yote waliyofungwa Man City. Reviewed by Zero Degree on 10/03/2016 08:50:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.