Loading...

TANZIA: Muigizaji wa Tamthilia ya Siri za Familia, Haji Jumbe [ Mr. Benson ] afariki.

Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Siku chache zilizopita alikuwa anasumbuliwa na tumbo.




Marehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson akiwa na familia yake mke wake Linda na Mtoto wake Alex katika igizo la Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA

Mazishi yanatarajia kufanyika leo Jumanne saa 9 Alasiri, huko Bagamoyo, Pwani.
Marehemu Haji Jumbe maarufu kama, Mr. Benson.

ZeroDegree.
TANZIA: Muigizaji wa Tamthilia ya Siri za Familia, Haji Jumbe [ Mr. Benson ] afariki. TANZIA: Muigizaji wa Tamthilia ya Siri za Familia, Haji Jumbe [ Mr. Benson ] afariki. Reviewed by Zero Degree on 10/25/2016 02:36:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.