Loading...

Azam yampotezea Kipre Balou.

Klabu ya Azam FC, imetangaza kuachana na mchezaji wao Kipre Bolou ambaye ni raia wa Ivory Coast.

Azam FC, imemuacha Bolou, ambaye ni ndugu ya Kipre Tchetche aende baada ya mkataba wake kwisha.

Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi amethibitisha kuhusiana na wao kumwacha Bolou.



“Alikuwa ni mchezaji wetu ameitumikia timu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa mpaka sasa anaondoka mkataba wake umefikia kilele na hayupo kwenye mipango ya mwalimuya baadae kwa maana ya msimu ujao”, amesema Jafar Idd.

Bolou alitua Azam FC akiwa na ndugu yake Tchetche ambaye sasa yupo nchini Oman anakocheza soka la kulipwa.

ZeroDegree.

Azam yampotezea Kipre Balou. Azam yampotezea Kipre Balou. Reviewed by Zero Degree on 11/18/2016 12:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.