Loading...

Ester Bulaya aibuka mshindi wa kesi ya uchaguzi jimbo la Bunda mjini dhidi ya Wasira.

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya ameibuka mshindi katika kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wanachama wanne wa CCM pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo(CCM), Steven Wassira.

Katika kesi hiyo, wanachama hao walidai kuwa uchaguzi huo haukufuata sheria na taratibu na mgombea wa CCM (Wassira) aliomba kura zihesabiwe upya na akanyimwa pia nakala ya matokeo.

ZeroDegree.
Ester Bulaya aibuka mshindi wa kesi ya uchaguzi jimbo la Bunda mjini dhidi ya Wasira. Ester Bulaya aibuka mshindi wa kesi ya uchaguzi jimbo la Bunda mjini dhidi ya Wasira. Reviewed by Zero Degree on 11/18/2016 04:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.