Loading...

Kiunzi cha mwisho kwa Donald Trump kuingia ikulu ni Tar 19 Desemba.

Baada ya Donald Trump wa Chama cha Republican kushinda Uchaguzi Mkuu wa Marekani, sasa anakabiliwa na kihunzi cha mwisho kinachoweka rehani urais wake.

Ni baada ya wafuasi wa Hillary Clinton aliyekuwa mgombea urais wa Democratic kuamua kukimbilia njia ya mwisho ya kushawishi wapigakura ya uamuzi (electoral vote) kuchagua chaguo lao.

Desemba 19, wapigakura 538 watakutana kwenye majimbo yao kupiga kura ya kisheria kumthibitisha rais mteule ambayo baadhi ya wafuasi wa Clinton wasiokata tamaa wanaona huenda ikawa ni mwanzo wa safari ya mwanamama huyo kuingia Ikulu.

ZeroDegree.
Kiunzi cha mwisho kwa Donald Trump kuingia ikulu ni Tar 19 Desemba. Kiunzi cha mwisho kwa Donald Trump kuingia ikulu ni Tar 19 Desemba. Reviewed by Zero Degree on 11/18/2016 11:02:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.