Loading...

Lipumba apata wakumuunga mkono toka kwao Tabora.

Profesa Ibrahim Lipumba. 
Usemi wa mtu kwao, juzi ulijidhihirisha baada ya wanachama wa CUF mjini Tabora kumhakikishia Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Profesa Ibrahim Lipumba kuwa wako pamoja naye.

Msimamo huo ulitangazwa na wanachama hao wakati wa kikao na Profesa Lipumba, aliyekuwa Tabora kuhudhuria maziko ya Spika mstaafu, Samuel Sitta.

“Ndugu zangu niliona jitihada za kuidhoofisha CUF upande wa bara zikifanyika, ikiwamo kuwasimamisha wabunge wachache tuliowapata kwa kazi kubwa, nikagundua hii shughuli ni nzito siyo ya kumtuma mtoto ndiyo maana nikaingia,” alisema Profesa Lipumba.

Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Lipumba apata wakumuunga mkono toka kwao Tabora. Lipumba apata wakumuunga mkono toka kwao Tabora. Reviewed by Zero Degree on 11/16/2016 11:15:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.