Loading...

VIDEO: Wimbo mpya wa Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae.

Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.



ZeroDegree.
VIDEO: Wimbo mpya wa Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae. VIDEO: Wimbo mpya wa Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae. Reviewed by Zero Degree on 11/06/2016 08:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.