Loading...

Ben Carson ateuliwa kuwa Waziri wa makazi na ustawi wa jamii.

Donald Trump amemteua mmoja wa washindani wake kuwa Waziri wa makaazi na ustawi wa miji.


Rais huyo mteule amesema amefurahishwa sana kumteuwa Dkt. Ben Carson ambae amemtaja kama aliye na uwezo wa kuimarisha masuala ya jamii. Ben Carson alistaafu kama daktari wa upasuaji wa kichwa.



Mwandishi wa BBC mjini Washington Marekani amesema bwana Trump na Carson wananuia kuwavutia wafuasi wa chama cha Republican ambao wametaka uwongozi uwepo kwa watu wasio na uzoefu wa kisiasa. Dkt. Ben Carson ana ushawishi mkubwa miongoni mwa Wamarekani wa madhehebu ya ki-injilisti.

Source: BBC Swahili
ZeroDegree.

Ben Carson ateuliwa kuwa Waziri wa makazi na ustawi wa jamii. Ben Carson ateuliwa kuwa Waziri wa makazi na ustawi wa jamii. Reviewed by Zero Degree on 12/05/2016 04:22:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.