Loading...

Hazard kuikosa mechi ya Chelsea dhidi ya Sunderland.

Kama ambaovyo Chelsea wanajiandaa na kwenda kutafuta ushindi wao wa 10 mfululizo katika Ligi Kuu juu ya Uingereza siku ya Jumatano, Antonio Conte na wenzake itawabidi kufanya hivyo bila ya uwepo wamshambuliaji wake hatari na maarufu kikosini.

Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian, Eden Hazard atakosa mechi ya Chelsea dhidi ya Sunderland kwenye Uwanja wa Light baada ya kupata majeruhi wakati wa ya Chelse dhidi ya West Brom ambapo Chelsea iliibuka kidedea kwa ushindi wa goli moja kwa sifuri.



Mshambuliaji huyo hatari toka Ubelgiji alitoka nje na nafasi yake kuchukuliwa na Ivanovic wakati Chelsea ilipopata ushindi wa goli
 1-0 katika dakika za majeruhi baada ya kuwa ameumia, na mpaka hivi sasa kuna uwezekano mkubwa wa Willian kuchukua nafasi ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 wakati 'The Blues' ikivaana na Sunderland siku ya Jumatano.

Pamoja Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza ambayo hivi karibuni inakimbilia mapumziko, Chelsea wanatakiwa kuchukua tahadhari kubwa sana juu ya hali ya nyota wa huyo toka Ubelgiji. Baada ya mechi ya Jumatano, Chelsea itatua tena dimbani siku ya Jumamosi kuwafuata Crystal Palace.

ZeroDegree.
Hazard kuikosa mechi ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Hazard kuikosa mechi ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Reviewed by Zero Degree on 12/14/2016 04:55:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.