Loading...

Lewandowski kuitumikia klabu ya Bayern Munich hadi 2021.

Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich, Robert Lewandowski hatimaye amesaini mkataba mpya wa miaka mitano, hivyo inamaanisha ataendelea kuichezea timu hiyo mpaka mwaka 2021.

Robert Lewandowski akisaini mkataba mpya.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Twitter, mshambuliaji huyo ameandika “This club gives me all i need to make my dreams come true! New challenges ahead of us! MiaSanMia! @FCBayern.”

Mshambuliaji huyo raia wa Poland alisajiliwa na timu hiyo mwaka 2014 akitokea Borussia Dortmund zote za ligi kuu ya Ujerumani. Mpaka sasa Lewandowski ameshaifungia Bayern magoli 58 kati ya mechi 77 alizocheza.

ZeroDegree.
Lewandowski kuitumikia klabu ya Bayern Munich hadi 2021. Lewandowski kuitumikia klabu ya Bayern Munich hadi 2021. Reviewed by Zero Degree on 12/14/2016 04:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.