Loading...

Rufaa ya Godbless Lema yagonga mwamba.

Usikilizwaji wa Rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ya kupinga kunyimwa dhamana imekwama kusikilizwa baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kupinga mbunge huyo kuongezewa muda wa kuwasilisha notisi ya rufaa.

Lema aliyekamatwa Novemba 2, akiwa mjini Dodoma tangu wakati huo anashikiliwa kwenye gereza la Kisongo jijini Arusha.

Baada ya rufaa ya Lema kukwama leo amerudishwa gereza la Kisongo.

Source: Mwananchi
ZeroDegree.
Rufaa ya Godbless Lema yagonga mwamba. Rufaa ya Godbless Lema yagonga mwamba. Reviewed by Zero Degree on 12/28/2016 06:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.