Loading...

Sebastian Veron arejea tena Dimbani, asaini mkataba wa miezi 18 kuitumikia klabu hii bila malipo.


Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na Chelsea, Juan Sebastian Veron ameamua kurejea katika timu aliyoanzia kucheza soka ya Nchini Argentina klabu ya Estudiantes na kuichezea bure.

Sebastian Veron akisaini mkataba wa miezi 18
Veroni ambaye alikuwa pia mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina amefikisha miaka 41, ameamua kuichezea klabu hiyo huku sehemu ya mshahara wake ukitumika kwa ajili ya maendeleo ya klabu, amesaini mkataba wa miezi 18 kuichezea klabu hiyo ndogo ya Argentina.

ZeroDegree.
Sebastian Veron arejea tena Dimbani, asaini mkataba wa miezi 18 kuitumikia klabu hii bila malipo. Sebastian Veron arejea tena Dimbani, asaini mkataba wa miezi 18 kuitumikia klabu hii bila malipo. Reviewed by Zero Degree on 12/29/2016 05:49:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.