Loading...

Afcon: Wenyeji Gabon wakomaliwa na Guinea - Bissau, Cameroon nao bila bila [Video]

Michuano ya Mataifa ya Afrika imeanza kwa wenyeji Gabon kutoka sare ya bao 1-1 na Guinea-Bissau.

Juary Soares ameisawazishia Guinea-Bissau katika dakika za lalasalama kufuatia goli la mapema la wenyeji lililofungwa na nyota wao, Pierre-Emerick Aubameyang. 


Pia, katika mchezo wa pili, Cameroun na Burkina faso zilitoka sare ya bao 1-1. Katika mchezo huo Cameroun walianza kuandika bao katika dakika ya 35 lililofungwa na Benjamin Moukandjo kabla ya Issoufou Dayo kusawazisha katika dakika ya 75, hivyo kuifanya michezo hiyo miwili ya kundi A timu zote kulingana kwa pointi na magoli ya ushindi na kufungwa.



ZeroDegree.
Afcon: Wenyeji Gabon wakomaliwa na Guinea - Bissau, Cameroon nao bila bila [Video] Afcon: Wenyeji Gabon wakomaliwa na Guinea - Bissau, Cameroon nao bila bila [Video] Reviewed by Zero Degree on 1/15/2017 12:11:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.