Loading...

Alichosema Kocha Arsene Wenger juu ya Henry, Bergkamp na Pires

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesifu safu ya ushambuliaji aliyonayo kwasasa kuwa ni nzuri kuliko wakati mwingine wowote ambao amekuwa akiifundisha Arsenal.

Wenger ambaye amefikisha miaka 20 tangu aanze kuifundisha klabu hiyo yenye makazi yake jijini London, Uingereza amesema kipindi cha kina Herny kulikuwa na wacheza wenye ubora lakini wachache jambo ambalo ni tofauti na sasa.


“Nadhani kwa sasa namba ni kubwa na uwezo pia ni mkubwa, hatukuwa na wachezaji ambao wanaweza sana kufunga lakini sio sasa,” alisema Wenger na alipoulizwa kuhusu safu ya ushambuliaji ya sasa na kipindi cha kina Thierry Henry, Dennis Bergkamp na Robert Pires alisema.

“Walikuwa na uwezo, lakini hawakuwa wengi, tulikuwa na Bergkamp na Henry na baada ya hapo alifuata Robin Van Persie.”
Alichosema Kocha Arsene Wenger juu ya Henry, Bergkamp na Pires Alichosema Kocha Arsene Wenger juu ya Henry, Bergkamp na Pires Reviewed by Zero Degree on 1/31/2017 12:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.