Loading...

Muigizaji mkongwe wa filamu toka Uingereza, John Hurt afariki dunia

STAA wa muvi ya ‘The Elephant Man’, ambaye ameifanya kazi ya uigizaji kwa zaidi ya miongo 6, Sir Joh Hurt amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77 kwa ugonjwa wa kansa na matatizo ya tumbo.

Hurt amedumu na mkewe, Anwen Rees-Myerskwa miaka 12, na hivi karibuni alikuwa ameanza kazi ya uchungaji (kuhubiri injili) na kumfanya achaguliwe kuwania tuzo ya Oscar ya mwaka huu.


Baadhi ya muvi maarufu alizocheza katika tasnia hiyo kwa zaidi ya miaka 50 kuanzia mwaka 1962 ni;
  • 1962 The Wild and the Willing
  • 1966 A Man For All Seasons
  • 1978 The Midnight Express
  • 1978 The Lord of the Rings
  • 1979 Alien
  • 1980 The Elephant Man
  • 1984 Nineteen Eighty-Four
  • 1989 Scandal
  • 1991 King Ralph
  • 1998 Night Train
  • 2001 Captain Corelli’s Mandolin
  • 2001 Harry Potter and the Philosopher’s Stone
  • 2002 Miranda
  • 2002 Crime And Punishment
  • 2003 Dogville
  • 2004 Hellboy
  • 2004 Pride
  • 2005 Valiant
  • 2006 V For Vendetta
  • 2008 Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull
  • 2009 New York, I Love You
  • 2009 44 Inch Chest
  • 2010 Brighton Rock
  • 2010 Harry Potter and the Deathly Hallows – Part 1
  • 2011 Harry Potter and the Deathly Hallows – Part 2
  • 2011 Melancholia
  • 2011 Tinker Tailor Soldier Spy
  • 2014 Hercules
  • 2016 Jackie
  • 2017 That Good Night
  • 2017 My Name Is Lenny
ZeroDegree.
Muigizaji mkongwe wa filamu toka Uingereza, John Hurt afariki dunia Muigizaji mkongwe wa filamu toka Uingereza, John Hurt afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 1/28/2017 11:53:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.