Riyad Mahrez atwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika.
Mahrez ameisaidia Leicester City kutwaa ubingwa msimu uliopita |
Mahrez mwenye miaka 25 raia wa Algeria aliyeisaidia Leicester kushinda taji la ligi kuu soka England msimu uliopita, tiyari ameshinda tuzo ya mcehzaji bora wa England sambamba na mchezaji bora wa BBC Afrika.
Mshambuliaji wa Senegal na klabu ya Liverpool Sadio Mane na mshambuliaji wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Gabon Pierre-Emerick Aubameyang walikuwa wakiwania tuzo hiyo pia.
Mshambuliaji wa Arsenal na timu ya taifa ya Nigeria Alex Iwobi ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi.

Mahrez ameshinda pia tuzo ya mchezaji bora wa BBC Afrika |
Denis Onyango wa uganda na klabu ya Memelodi Sundowns akishinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa ligi za ndani.
Mchezaji bora kwa kina dada imeenda kwa Asisat Oshoala wa Liverpool na timu ya taifa ya Nigeria huku timu bora ya mwaka ikiwa ni Uganda.

ZeroDegree.
Riyad Mahrez atwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika.
Reviewed by Zero Degree
on
1/06/2017 10:02:00 AM
Rating: