Loading...

VIDEO: Bao la Oliver Giroud lililozua gumzo mitaani.

Bao la Olivier Giroud la 'scorpion ama ng'e' katika ushindi wa Arsenal wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace ni miongoni mwa mabao matano muhimu katika uongozi wa Arsene Wenger.


Mabao ya Thiery Henry na Dennis Bergkamp ni miongoni mwa mbao aliyofurahia lakini akasema hili litakuwa 'bao la Giroud', alisema Wenger.



Aliongezea, ..Si bao la kawaida lakini Giroud alitoa kitu maalum.

Lakini kwa upande wake Giroud, amesema kuwa bao hilo alilifunga kwa bahati.

Uvamizi wa Arsenal katika ngome ya Crystal Palace ulimfanya Giroud kufunga bao hilo maridadi kutoka kwa krosi iliopigwa na Alexi Sanchez.

ZeroDegree.
VIDEO: Bao la Oliver Giroud lililozua gumzo mitaani. VIDEO: Bao la Oliver Giroud lililozua gumzo mitaani. Reviewed by Zero Degree on 1/02/2017 01:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.