Loading...

Kitendo cha Ivory Coast kumuita Bailey kikosini chamchukiza Jose Mourinho.

Beki wa Manchester United, Eric Bailey akisalimiana na kocha Jose Mourinho.
Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amechukizwa na Ivory Coast baada ya kumchukua beki Eric Bailey.

Bailey alicheza katika kikosi cha kwanza cha United katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Middlesbrough na Mourinho alidhani beki huyo atajuimuika na wenzake katika mechi dhidi ya West Ham siku ya Jumatatu.



Mourinho ameuambia mtandao wa klabu hiyo kwamba kocha Michel Dussuyuer alikuwa hayuko tayari kuchukua hatua yoyote wakati wanapijiandaa kutetea taji lao la Afrika.

''Baily anaondoka anaenda kuchezea timu yake ya taifa, alisema Mourinho. Ni lazima awe na timu yake mnamo tarehe 2 Januari.Tuliwaomba wamchukue tarehe 3 lakini wakakataa,kwa hivyo hawezi kucheza dhidi ya West Ham''.

ZeroDegree.
Kitendo cha Ivory Coast kumuita Bailey kikosini chamchukiza Jose Mourinho. Kitendo cha Ivory Coast kumuita Bailey kikosini chamchukiza Jose Mourinho. Reviewed by Zero Degree on 1/02/2017 03:59:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.