Loading...

Wenger aweka wazi mipango yake juu ya Jack Wilshere.

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ambaye ameweka wazi kwamba anataka kumrejesha mchezaji wake, Jack Wilshere katika kipindi hichi cha uhamisho wa majira ya joto msimu huu.



Kwa sasa mchezaji huyo wa Arsenal anakipiga klabu ya Bournemouth kwa mkopo tangu Agosti mwaka jana.

ZeroDegree.
Wenger aweka wazi mipango yake juu ya Jack Wilshere. Wenger aweka wazi mipango yake juu ya Jack Wilshere. Reviewed by Zero Degree on 1/02/2017 04:04:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.