Loading...

PICHA: Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Chelsea, Oscar akiwasili rasmi China.

Aliyekuwa kiungo wa Chelsea ya England raia wa Brazil Oscar awasili siku ya Jumatatu ya January 2, 2017 katika timu ya Shanghai SIPG ya China iliyomsajili kwa dau la pound milioni 52.


Oscar ambaye atakuwa akilipwa mshahara wa pound 400,000 kwa wiki aliwasilia ShanghaiPudong Airport na kupokelewa na mashabiki wa timu hiyo sambamba na vyombo vya habari.


ZeroDegree.
PICHA: Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Chelsea, Oscar akiwasili rasmi China. PICHA: Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Chelsea, Oscar akiwasili rasmi China. Reviewed by Zero Degree on 1/02/2017 04:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.