Loading...

Alichoandika Waziri Nape Nnauye baada ya Alikiba kupewa tuzo ya MTV EUROPE

Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye anafatilia kila kinachoendelea kwenye idara ya sanaa ambapo ameona pia kilichotokea kwa mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba weekend hii aliyekabidhiwa tuzo yake ya MTV EUROPE huko Johannesburg South Africa.

Baada ya kuona hiyo habari kubwa ya Alikiba, Waziri Nape Nnauye aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter >>> “Kiba! Big Up! Am so proud of you! We ni mmoja wa wasanii wanaonifanya nijisikie fahari kuwa Waziri wa Sanaa Tanzania! May allah bless you!“

Alichoandika Waziri Nape Nnauye baada ya Alikiba kupewa tuzo ya MTV EUROPE Alichoandika Waziri Nape Nnauye baada ya Alikiba kupewa tuzo ya MTV EUROPE Reviewed by Zero Degree on 2/19/2017 12:33:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.