Bunge la Rwanda lapitisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa
Wabunge nchini Rwanda jana waliipitisha sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya rasmi.
Kiswahili kitaungana na Kinyarwanda, Kiingereza na Kifaransa, kama lugha ya nne rasmi ya nchi hiyo. Kwa sasa lugha hiyo itatumika kwenye shughuli za uongozi na kitaonekana kwenye baadhi ya nyaraka za kiofisi.
Lugha hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu.
Lugha hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu.
Source: TheNewTimes
Bunge la Rwanda lapitisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa
Reviewed by Zero Degree
on
2/09/2017 05:32:00 PM
Rating: